Udakuzi Gossip

Udakuzi Gossip

Your source for entertainment news, celebrities, celeb news, and celebrity gossip.

ad

Breaking News
Loading...

Latest Post

Sunday, January 3, 2016

UCHAMBUZI YAKINIFU:: POZI ZA RAY NA KULAMBA LIPSI!! NI NINI HASA KUSUDIO LAKE? SOMA HUMU.

 UCHAMBUZI YAKINIFU:: POZI ZA RAY NA KULAMBA LIPSI!! NI NINI HASA KUSUDIO LAKE?



Miaka takribani 15 iliyopita nyota za Muigizaji Ray na marehemu kanumba zilitawala medani ya tamthilia hapa bongo wote wakiwa ni zao la tanuru lililopika vipaji vingi katika sekta ya uigizaji la kundi lililojihusisha na tamthilia lililoitwa Kaole group.
Mbali na mafanikio ya kuweza wote kumiliki makampuni ya kutengeneza filamu na kuibuka kwa ushindani mkubwa baina yao wawili lakini haina shaka kwa mpenda burudani ya filamu hapa nchini hakika mzani wa kuwapima ray na kanumba usingeweza kukaa katika msawazo kwa maana ya mafanikio makuu ya Marehemu kanumba ya kuanza kujitahidi kuifikisha tathinia ya filamu kimataifa kwa kuweza hata kufanya muvi mbili tatu na wasanii wengine gwiji wa Afrika magharibi toka soko la filamu la nigeria liitwalo nollywood.



Rest In Peace Kanumba:: Hatimaye baada ya wanaburudani kupata pigo zito la kifo cha nguli wao aliyeanza kuonyesha dalili za kuwatoa kimasomaso katika medani za kimataifa kufifia baada ya mwenyezi mungu kumpenda zaidi!! Fikra za watu na jicho la matumaini yakabaki kwa mshindani waliyekuwa wakijaribu labda kukivaa kiatu kimoja na si mwingine ni Ray lakini alahaula ni miaka inayoyoma na katika peruzi peruzi zangu na kumbana na picha za mkali wa bongo muvi akiwa katika pozi hizi....... Je lile jina la "The greatest" ambalo lilizua mjadala baina yao ndio kusema mwenye nalo kashapumzika kwa amani na Ray kashindwa kulienzi kwa kuwakilisha njia za swahiba wake katika kuivusha sanaa ya bongo kwenye filamu katika soko la kimataifa? hahahaha mpendwa msomaji changia wazo lako kwa ku comment mi nalamba lipsi hapa kidogo.

Friday, January 1, 2016

PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA CHALI!! WACHUNIANA MBAYA, SHILOLE AVUNJA MZIZI WA FITINA AIFUTA NA TATTOO YA JINA LA NUH!!

PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA CHALI!! WACHUNIANA MBAYA, SHILOLE AVUNJA MZIZI WA FITINA AIFUTA NA TATTOO YA JINA LA NUH!! 



Wadakuzi wamumusa ubuyu hadharani duuh!! kumbe penzi la mwana dada shishi baby wakuitwa shilole na yule dogo dogo wake nuh mziwanda ambalo lilikuwa likitikisa kwa headline za hapa na pale mara mtu kapigwa club, mara mtu kafumaniwa kwenye gari heeeeh!! mara mtu kampachika mimba mchepuko basi ninonino juu ya nonino tu.



Hatimaye yale mahaba niue ya wawili hawa yamekuwa over!! tena over nzito kufuatia hatua aliyoamua kuchukua shilole ya kuigeuza tattoo ya jina la Nuh iliyokuwa kifuani kwake kuwa picha ya kipepeo hahaha dah wadakuzi wanafatilia kwa kina kujua je Nuh ataigeuza tattoo ya shiole kuwa ua? yetu macho japo kwa hawa wawili walivyo na mikasa ya kiki mmmh usikute nyimbo mpya na swaga zao za nataka sitaki. Toa maoni yako kuhusu hili mpendwa msomaji.

UJUMBE HUU MZITO WA LULU UMEWALIZA WENGI AKIWA KAMUANDIKIA MAMA YAKE DAH!! SOMA HUMU!!

UJUMBE HUU MZITO WA LULU UMEWALIZA WENGI AKIWA KAMUANDIKIA MAMA YAKE DAH!!.


Mwigizaji nguli almaarufu kama Lulu pamoja na kuwa jina lake la kuzaliwa ni Elizabeti michael umewagusa wengi wakati alipotumia dakika zake kadhaa kuandika ujumbe huu mzito na unao gusa ukiwa kama dedication kwa mama yake kwenye siku yake ya kuzaliwa lakini hakika unastahili kuwa jumbe unao walenga kina mama wote!!.

Hakuna mwana burudani anayefatilia tathinia ya burudani hapa nchini asiyejua kwa jinsi binti huyu machachali kabisa kwenye kioo cha luninga kupitia filamu mbalimbali jinsi alivyo pata misukosuko mbali mbali taklibani miaka 5 iliyopita achia mbali kashifa na maneno makali au ya kejeli toka hasa kwa maadui wa kazi yake(mana wasio mpenda ni hakika wanachukizwa tu na mafanikio ya kazi yake kifupi ni haters!!) hebu soma kile kilichotoka uvunguni mwa moyo wa Lulu soma hapo chini kwa umakini mkubwa kabisa......



"Umenifundisha kujua thamani ya Mama Duniani,Umenifundisha urafiki WA kweli uko vipi,undugu WA kweli uko vipi Pale ambapo wote walikimbia,walikuwa kinyume Na Mimi Wewe Ndo ulisimama Naweza kuandika maneno Milioni lkn kiukweli hakuna Namna ninayoweza kukuelezea Na watu wakapata picha halisi ya ulivyo  Una mapungufu yako...Ndio sikatai 
Una mabaya yako...Ndio maana hata ww NI binadamu sio malaika Lakini macho yangu Na Moyo Wangu sikutazami Kama inavyokutazama dunia Na watu wake....Wewe NI Wangu Kwa Jua au Mvua,Kufa au Kupona,kucheka au Kulia...ur always there Mama angu
Watu WA duniani washaniona sifai Kwa maneno machafu Na hata Vitendo,Dah lkn ww unaniona Kama kitu kinachozidi kuwa Na thamani kila iitwapo Leo 
Ombi Langu Kwa Mungu aendelee Kukutunza kwaajili yangu,kwaajili ya familia Yetu Na kila aliye karibu yetu...Nakupenda Jana,Leo,Kesho Na Milele
Nilitamani niandike machache lkn nimeshindwa kujizuia
Happy birthday Mama"

NDIO KUSEMA MPAKA LEO BADO HUJAKUBALI TU WEMA SEPETU NI KING'ASTI MATATA HAPA BONGO? BASI SOMA HAYA!!

NDIO KUSEMA MPAKA LEO BADO HUJAKUBALI TU WEMA SEPETU NI KING'ASTI MATATA HAPA BONGO? BASI SOMA HAYA!!.
Katika warimbwende wenye mvuto wa nyota ya kipekee katika kila anachogusa kina geuka dhahabu basi ni mwana dada wema sepetu hii wala haina shaka miongoni mwa watu wanaofatilia tathinia ya burudani hapa nchini na hata imepelekea wadau wengi kushawishika kujiweka karibu waitumie nyota hii ya sepetunga!! hahaha!!.



Haina ubishi wala longo longo ndie mtu nguli pekee ambaye ukitathimini kwa kina kipi kikubwa hasa ambacho ame perform tofauti sana na wenzie hadi kupelekea kuwa na kivutio namna hiyo utabaki umepigwa butwaa tu, Mana kama Muvi wapo wanacheza hata muvi 10 kwa mwaka na bado hawawi vipenzi vya wapenda burudani kama ni u miss wapo walikuwa mamiss tena na miskedo kedede japo hawaja make head line kama za mtoto wa sepetu kama ni muhusiano ya maluvidavi wapo wanao badili kama vocha za simu lakini bado pamoja na umarufu wao hawajaigusa nyota hii ya sepetunga!! Huyu ndio wema bin sepetu bwana.



Thursday, December 19, 2013

How to Set Up Email on a New Android Phone

Unless you rely on one of the majors like Yahoo and Gmail for email on your Android smartphone, one of the worst tasks in setting up a new device is surely configuring the email server. The key is to ignore the Android-device prompts for an automatic setup -- they won't work. Instead, plan to manually enter the data straightaway -- it's faster.
 
Setting up a brand-new phone can involve numerous aggravations, but if you don't rely on one of the majors like Yahoo and Gmail for email, one of the worst is surely the manual email server configuration. If you use a customized domain name, your Android device's email client is likely to need this extra step.

This could become an even more prevalent problem with the January U.S. launch of the reasonably priced and specified Moto G smartphone, enabling consumers to buy new devices willy-nilly and without contract. Buying such a new device might be easy, but it will likely remain a time-consuming hassle to configure it -- particularly if you're moving operating systems, like Apple iOS or Windows to Android.

In any case, the key is to ignore the Android-device prompts for an automatic setup -- they won't work. Instead, plan to manually enter the data straightaway -- it's faster. Begin by identifying your existing email settings: Open a currently functioning email client and choose the Settings menu. Then copy the settings syntactically character-by-character.

Microsoft Office's Outlook on the PC lets you leave the settings dialogs on-screen while you fiddle with the phone, but the settings can be copied from iPhones or other software clients too; look for the Settings button on the iPhone and drill down for email settings. 

Outlook 2013

Step 1: Open Outlook 2013 and choose the File tab. Then click or touch the Account Settings button and again, click or touch the resulting drop-down button.

Step 2: In the resulting Change Account dialog box, double-click on the listed email account that you want to use on your phone. The account type, incoming and outgoing servers, and incoming logon information will be listed.

Step 3: Choose the More Settings button on the dialog and then the Outgoing Server tab in order to see if the outgoing mail server is different from the incoming mail server listed in the previous step. Keep Outlook open.

Tip: Some, but not all, outgoing email servers use settings different from those of the incoming server.

Step 4: Find the email setup area on your new Android 4.0 ("Ice Cream Sandwich") device by choosing Settings in the app drawer and then Accounts and Sync; then Add Account and then Email.
Tip: The newest Android operating system -- Android 4.4 "Kit Kat" -- sets up similarly.

Step 5: Follow the syntax precisely to enter server data, obtained in the earlier steps, into the Android device's email setup menu. Use the Next prompt button to progress forward through screens.

Tip: Check the server syntax, password and User ID if the Android device can't connect to the server. Required ports can be found in Outlook's More Settings. Look for the Advanced tab and copy the port numbers listed there.

Pay attention to outgoing server-required SSL encryption, which will be listed in that Outlook tab too. Outgoing encryption is more prevalent than incoming.

Step 6: On the last screen in the series of Android email setup prompts, choose the Android device's email account options such as inbox-checking frequency, default sending account, notification and syncing.

Wednesday, October 2, 2013

Facebook Graph Search now finds comments, status updates

Facebook founder and CEO Mark Zuckerberg speaks at the unveiling of Facebook Graph Search in January
Facebook announced an update to Graph Search on Monday that will enable users to search for conversation topics within status updates, comments and posts. Some users with Graph Search can now browse Facebook for topics of interest — for example, "posts about Breaking Bad" or simply "Breaking Bad."
The update also allows users to search for posts or comments from a certain time period or location (for example, "posts by my friends from last month") or posts that they already composed or commented on.
The update makes Facebook much more conducive to real-time conversations, an area where it has been making major strides to compete with the likes of Twitter. The two social networks have been competing for eyeballs during primetime television events like the Emmys, the NFL's Monday Night Football, and Sunday's Breaking Bad finale.
When users' eyes aren't glued to the TV screen, Facebook and Twitter want them to be having conversations or voicing their opinions on their respective networks.
Opening up Graph Search to enable post and comment searches will help Facebook to do so. When a user logs into his profile during a primetime event, he can quickly scan all conversations about the game or his favorite show — even if he isn't near the top of the News Feed. If a user want to talk about an event hours (or even days) later, he can search for all relevant conversations on Facebook, something users can't easily do using Twitter.

Facebook has been working to add partnerships around live media in an attempt to fuel this social conversation. Earlier this month, the social network announced a content deal with FOX Sports to promote Facebook data and conversations alongside live NFL and college football broadcasts. Facebook has also added features like searchable hashtags and verified accounts in an attempt to make finding topics of interest easier on the platform.
Facebook reported on its Q2 earnings call that 88 to 100 million people are actively using the social network during primetime television hours — a number that Facebook advertisers will pay close attention to.

Twitter is making similar efforts ahead of the company's IPO; the company is expected to file its public IPO papers as soon as this week. Just last week, Twitter announced ad partnerships with both CBS and the NFL, which will bring real-time video into your Twitter stream.
Facebook's search update is not yet available to all Graph Search users, according to a company spokesperson. It will be tested starting on Monday with a small group of users and will roll out more expansively after that. Users will only be able to search for content that has been shared with them, in addition to public posts. In other words, your conversations should not appear in a search run by someone outside of your network unless your comments and posts are public.

Wednesday, September 11, 2013

Museum celebrates women in computing


Many of the first computers were developed during wartime and women were intimately involved in their creation and operation. Here Dorothy Du Boisson and Elsie Booker operate Colossus as it cracks codes.
The National Museum of Computing has opened a gallery celebrating the role of women in computer history.
Sponsored by Google, it documents the important role women have played in building and programming pioneering computers.
The idea for the gallery arose when the Museum found that only 10% of students on its educational courses were women.
It is hoped that the gallery will help to inspire more young women and girls to take up a job in the computer world.
"Girls must take advantage of the revival of computing in schools and recognise and grab the opportunities that our wonderful sector offers," said Dame Stephanie Shirley at the opening ceremony for the gallery.
The Museum is sited in the grounds of Bletchley Park, the wartime code-cracking centre.
On show at the gallery are contributions from Joyce Wheeler, one of the first academics to use the Edsac computer; Mary Coombs, the first female programmer for the Lyons Electronic Office and Kathleen Booth, an academic who wrote the first book about programming in Assembly language.

Margaret Bullen, who helped wire up the original Colossus at Bletchley Park during World War II, attended the opening of the Heroines of Computing gallery.

Also attending on the opening day was Joyce Wheeler, a scientist who was one of the earliest users of the Edsac computer at Cambridge

Built in 1949, Edsac (the Electronic Delay Storage Automatic Calculator) was developed to be the mathematical workhorse for Cambridge scientists.

The gallery also celebrates Mary Coombs, one of the first programmers of the Leo (Lyons Electronic Office) a machine that was based largely on the Edsac design.   

The Women in Computing gallery was created as part of a larger project to inspire girls to take up programming. The Museum is running workshops and other events to get younger women interested and involved.
 

IDADI YA WASOMAJI